Elimu ya Kupitia Simu

Mtumpya

Member
Joined
Feb 7, 2010
Posts
17
Reaction score
12
Rafiki zangu nami tumetengeneza njia ya kupata nyenzo za elimu za O-level kwa kupitia simu. Masomo yanayopatikana kwa sasa ni Uraia, Historia, Jiografia, Biolojia, Kemia, na Fizikia.

Kuijaribu tuma MSAADA kwa 0759350150 na utapewa maelekezo.
 
Hiyo ni poa sana.
Je, msaada huo unapatikana kwa bei gani, lakini?
 
Mtumpya, tuwekee maelezo kamili ya huo mradi ndugu. Ni wazo zuri sana mkuu, linaweza kusaidia kizazi hiki...
 
Last edited by a moderator:
Mtumpya, tuwekee maelezo kamili ya huo mradi ndugu. Ni wazo zuri sana mkuu, linaweza kusaidia kizazi hiki...

Ukituma MSAADA kwa 0759350150 utapata orodha ya features zifuatazo: NOTES, MAANA, MASWALI, MATOKEO. Ukituma jina la feature utapata maelezo zaidi. Kwa mfano, ukituma MATOKEO utapata ujumbe huu: "Tuma ujumbe kama MATOKEO*F4*X*Y*Z, lakini badala ya X andika mwaka, badala ya Y andika namba ya centre, na badala ya Z andika namba ya mwanafunzi. Mfano: matokeo*f4*2014*s0101*0022"

NOTES zipo za uraia, historia, jiografia, biolojia, kemia, na fizikia. Form 1 mpaka Form 4.

Kuna MASWALI ya multiple choice ya masomo yaleyale pia.

MATOKEO ni ya CSEE tu kwa sasa. 2009-2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…