Ndg wanajf, pole na majukumu, nmefkria sana, hatmaye nmeamua kujua Kuhusu elimu ya waziri Lukuvi, make nmekuwa naskia kwamba wadau mbalmbal wa siasa wakihoji elimu za viongozi wengne hasa wa upinzani, wanaoelewa nisaidien kujua.

Tafta tovuti ya bunge, ukifika hapo mchek Lukuvi, utaona profile yake. Kama hajabadilisha(update taarifa zake, elimu yake ya juu ni diploma ya kilimo nadhani kaipatia ughaibuni.