Kigilagilagatirumo JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 503 Reaction score 734 Jul 28, 2014 #1 Wanaopata wazimu vyuo vikuu ni kuzidi kwa material kichwani au ni mikono ya watu, au pengine ni ufrimason wa bondi ya mikopo
Wanaopata wazimu vyuo vikuu ni kuzidi kwa material kichwani au ni mikono ya watu, au pengine ni ufrimason wa bondi ya mikopo
The Don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 3,499 Reaction score 1,175 Jul 28, 2014 #2 Wahurumie tu mkuu,mtu kuchizika kuna factors nyingi zinachangia za ndani au nje ya mhusika mwenyewe either kulogwa,kuzidisha kusoma,maisha magumu,pigo la bodi ya mkopo,madawa ya kulevya n.k,wasaidiwe tu warudi kwenye hali zao
Wahurumie tu mkuu,mtu kuchizika kuna factors nyingi zinachangia za ndani au nje ya mhusika mwenyewe either kulogwa,kuzidisha kusoma,maisha magumu,pigo la bodi ya mkopo,madawa ya kulevya n.k,wasaidiwe tu warudi kwenye hali zao
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,717 Reaction score 13,443 Jul 29, 2014 #3 SOCIETY'S FOCUS said: Wanaopata wazimu vyuo vikuu ni kuzidi kwa material kichwani au ni mikono ya watu, au pengine ni ufrimason wa bondi ya mikopo Click to expand... ufrimason wa bondi ya mikopo?
SOCIETY'S FOCUS said: Wanaopata wazimu vyuo vikuu ni kuzidi kwa material kichwani au ni mikono ya watu, au pengine ni ufrimason wa bondi ya mikopo Click to expand... ufrimason wa bondi ya mikopo?