Hivi hawa ndugu zetu wa mtwara hata wakipewa au hiyo mitambo itawasaidia nini? Hawafanyikazi wanasubiri gasi. mwishowe nasema hata hiyo mitambo au gas haitawasaidia chochote
the big show come this way please
Hivi hawa ndugu zetu wa mtwara hata wakipewa au hiyo mitambo itawasaidia nini ikiwa hadi leo hii karne ya 21 bado wanaamini ungo na uchawi. Hawafanyikazi wanasubiri gas. Sasa kuchoma moto mahakama na nyumba ya mbunge maana yake nini. Au ndio maendeleo wanayotaka. Hawa watu sidhani hata kama wana dini.mwishowe nasema hata hiyo mitambo au gas haitawasaidia chochote
Hiyo ajira hawatapata kwani elimu hawana wataishia kuwa mama nitile na wabeba zege..... Ajira itaenda kwa makabila yaliyosoma. Mwishowe watajenga nao chuki na kuhatarisha mitambo na utendaji kazi.

Daaahh kweli yaani hujui hata ajira ni nini, umezoea ajira ni ya serikali peke yakeHiyo ajira hawatapata kwani elimu hawana wataishia kuwa mama nitile na wabeba zege..... Ajira itaenda kwa makabila yaliyosoma. Mwishowe watajenga nao chuki na kuhatarisha mitambo na utendaji kazi.
hiyo mahakama iliyochomwa moto inasemekana eneo hilo haitakiwi tena kuwepo,wamechoma kwa chuki na serikali hii ya ufisadi,kwan nimeskia watu wanasema kwamba eneo hilo mahakama wanatakiwa kuondoka kwenda sehemu nyingine na kwamba eneo limenunuliwa na riz1,kwaiyo wanamsaidia kulihamisha moja kwa moja,ukiachilia mbali hizi vurugu holela,kwanin serikali inagoma kufanya mazungumzo na wananchi??