Habari wanafamilia wa jamii forum. Napenda leo tuongee kuhusu afya, asilimia 90% ya utafiti wanasema kutakuwapo na ongezeko wa magonjwa sugu. Magonjwa sugu ni kama kisukari, cancer, presha, kiharusi na magonjwa ya mabafu
Kwanza kabisa, chanzo kikubwa cha magonjwa ni kutokula vyakula muhimu katika milo yetu kama nafaka kamili, protini, matunda na mboga mboga n.k . Chakula ni dawa, mtindo wa lishe kwa binadamu ipo kama ifuatavyo 40% anatakiwa kula nafaka kamili yani mahindi, dona, soya, mtama n.k . Hii ndio chakula ambacho tunahitaji kula kwa wingi sana sana matokeo yake ndio tunakula kwa asilimia ndogo sana ndio maana kuna magonjwa kama vile bawasiri, hormone inbalance uchovu n.k . Haya asilimia 20% inachukuliwa na protini tena protini aina ya mikunde yani maharage, choroko ila watu wengi tunakula protini daraja la 2 ambalo la nyama nyekundu. Kitaalum nyama nyekundu robo kilo tunatakiwa kula familia ya watu 8-10 sasa je tunafanya hivyo HAPANA...asilimia 30% inachukuliwa na mboga mboga na matunda, na tena mboga mboga na matunda ya rangi tofauti tofauti. Kuna umuhimu wa rangi ya tunda katika mwili. Kitaalum mtu anahitajika kula vipakuli 9 vya matunda mbali mbali. Hatuli ndio maana kuna matatizo ya macho hukosefu wa kinga mwili na mwisho 10% asilimia ndogo sana mafuta na sukari. Tunashauriwa tutumie japo asali katika chai ila tunakula mafuta na sukari sana sana
Bado swali ni lile lile tunakula nini na tunakulaje? Je kwa mtindo wa ulaji wako unajiona wapi miaka ijayo? Mafanikio ya kwanza ni afya, hii yote ni elimu ya afya kwa kifupi sana ila nawakaribisha jumanne hii au jumamosi tuko lions hotel, sinza kumekucha tunatoa elimu bure sana kwa ajili ya afya na kutoa suluhisho. Sio hilo tu, tunatoa maonesho mbali mbali ya usafi wa mazingira. Umri wa rika lote na jinsia yeyote mnakaribishwa katika darasa nzuri sana la afya
Afya ni mafanikio ya kwanza, tule vizuri ili tuepuke kunywa madawa, madawa ni sumu. Na kwanini tunakunywa madawa wakati kuna chakula ambacho tukila vizuri kinafanyika kinga mwilini naturally. Mtaalum mmja asisema acha chakula kiwe dawa yako na dawa yako iwe chakula chako. Tukutane jumanne na jumamosi katika elimu ya lishe na mengineo katika maisha kuanzia sa 5 asubuhi hadi sa 7 mchana bureeee. Kwa mawasiliano kuhusu magonjwa mbali mbali na suluhisho la chakula 0766317197/0693307877