MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member Joined Mar 2, 2011 Posts 712 Reaction score 332 Jan 22, 2016 #1 Salam sana wanajanvi, Awali hatuna budi kupongeza jitihada za serikali katika kuvalia njuga suala la elimu yetu. Hongera sana. Binafsi nina swali kwa wadau wa elimu, Je wanafunzi kusoma bure kutachangia katika kuimarisha ubora na ufanisi wa elimu yetu?
Salam sana wanajanvi, Awali hatuna budi kupongeza jitihada za serikali katika kuvalia njuga suala la elimu yetu. Hongera sana. Binafsi nina swali kwa wadau wa elimu, Je wanafunzi kusoma bure kutachangia katika kuimarisha ubora na ufanisi wa elimu yetu?
ENANTIOMER JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 1,419 Reaction score 804 Jan 22, 2016 #2 Kutatoa nafasi kwa wanafunzi wanaotoka ktk familia zisizojiweza. Ambao kama elimu isingekua bure, wao wasingeweza kuzimudu; nao wapate elimu. Kuhusu ubora na ubure wa elimu, naona hakuna uhusiano. Ubora utaletwa na mengine, sio ubure wa elimu.
Kutatoa nafasi kwa wanafunzi wanaotoka ktk familia zisizojiweza. Ambao kama elimu isingekua bure, wao wasingeweza kuzimudu; nao wapate elimu. Kuhusu ubora na ubure wa elimu, naona hakuna uhusiano. Ubora utaletwa na mengine, sio ubure wa elimu.