Shule ina wanafunzi 200 lakini ina mwalimu mmoja tu,shule ya msingi ruino wilayani mbinga,jamani watanzania wenzangu hiyo ndiyo elimu bora au bora elimu ya tanzania?
Huyo mwalimu hakupata ruzuku au ni nini? Kichwa cha habari kingine maelezo mengine. Waalim hata waliomaliza la 7 hapo mwaka jana awarudishe wawafundishe wadogo zao.
Elimu bure si waalim bali ruzuku
Huyo mwalimu hakupata ruzuku au ni nini? Kichwa cha habari kingine maelezo mengine. Waalim hata waliomaliza la 7 hapo mwaka jana awarudishe wawafundishe wadogo zao.
Elimu bure si waalim bali ruzuku