Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,451
- 4,088
Nani asiyemfahamu Eliezer Feleshi kuwa ni DPP wa kwanza duniani kutojua maana ya neno Ghaidi...
Huyu jamaa ni janga la kidunia, sijui mganga gani alimwezesha kupata hiyo nafasi ambayo hastahili kabisa
Kumtetea Feleshi ni sawa na kupulizia pafyumu kinyesi....Ficha u.p.u.m.b.a.v wako usifiche hekima yako, unadhani kwa akiri zako Feleshi anafurahishwa na yanayotokea? Unadhani Feleshi anapenda uonevu? Unadhani kwa nini alifuta kesi ya UDA?!! Unadhani kwa nini hawapatani na AG?!! ushawahi kujiuliza kwa nini kesi zote hizo za ajabuajabu wanazifungua akiwa nje ya nchi kikazi...!!!?? Acha ushabiki wa kijinga tumia ubongo wako kupambanua mambo.
Ficha u.p.u.m.b.a.v wako usifiche hekima yako, unadhani kwa akiri zako Feleshi anafurahishwa na yanayotokea? Unadhani Feleshi anapenda uonevu? Unadhani kwa nini alifuta kesi ya UDA?!! Unadhani kwa nini hawapatani na AG?!! ushawahi kujiuliza kwa nini kesi zote hizo za ajabuajabu wanazifungua akiwa nje ya nchi kikazi...!!!?? Acha ushabiki wa kijinga tumia ubongo wako kupambanua mambo.
Na Serikali sikivu ya CCM ikamtunuku Phd ya Sheria kutekeleza Big Results Now. Hakika huu ni udhalilishaji mwingine kwa Kitivo Cha Sheria Cha Chuo Kikuu Cha DSM.
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP),Dk.Eliezer Feleshi (kushoto), Dk.Zakayo Lukumai (Kulia) wakifurahia jambo na Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo (katikati), muda mfupi baada ya kutunukiwa Shahada ya Juu ya Uzamivu (PhD). ya Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, hivi karibuni.
Hehe..ukikimbiza mwehu alokuchukulia nguo we ndo utaonekana mwehu, sijui hata profession yako aise..sidhani kama ni sheria.
Huu sio uthibitisho tosha kama hamiliki mali na vitu vingi vya thamani,yawezekana hii ikawa ZUGA tu..
Pia nikuulize ndugu;
- Unajua nyumba zote anazomiliki ndugu Feleshi zaidi ya hii uliyoibandika?
- Unajua anamiliki fedha kiasi gani benk za ndani na nje ya Tanzania?
Unadhani kwa nini Dr. Hosea alipotakiwa na Dr. Feleshi wafanye mdaharo juu ya madai yake kwenye media aliogopa kama ni msafi na tuhuma zake ni za kweli??!!! Think big mkuu na jambo usolijua ni kama usiku wa giza.
Feleshi hana kosa hata kidogo, he there to fulfill some missions..! Chezea kundi la walanguzi wewe..!
Bila shaka, na inaskitisha sana kuona mtu akimchafua Feleshi kwa grounds izo, nadhani hata wanasheria wenzangu tunaofahamu uadilifu wa huyu jamaa na pamoja na mazingira magumu anayofanyia kazi bado ni mchapa kazi wa kuligia mfano aisee, na kwa viongozi waandamizi wa Serikali nadhani huyu atakuwa wa mwisho kumsema vibaya.
Na Serikali sikivu ya CCM ikamtunuku Phd ya Sheria kutekeleza Big Results Now. Hakika huu ni udhalilishaji mwingine kwa Kitivo Cha Sheria Cha Chuo Kikuu Cha DSM.
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP),Dk.Eliezer Feleshi (kushoto), Dk.Zakayo Lukumai (Kulia) wakifurahia jambo na Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo (katikati), muda mfupi baada ya kutunukiwa Shahada ya Juu ya Uzamivu (PhD). ya Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, hivi karibuni.
Hukumu ya jana imemvua nguo huyo ndugu yako. Kama kakutuma uje kumtetea hapa imekula kwako. Ametia aibu sana, hata BUSH LAWYER angemshinda huyu DPP katika ile kesi ya makada wa Chadema. DPP hajui maana ya ghaidi. PHD holder anaambiwa na Mwigulu Nchemba kafungue kesi ya ughaidi naye anakubali. Au vyeti vyake viliibiwa kwenye ile computer iliyoibiwa ofisini kwake?
Kumtetea Feleshi ni sawa na kupulizia pafyumu kinyesi....
Huyu MJOMBA wako ni janga la kidunia. Kama kweli ana uwezo na kazi yake angeshinda hata 10% ya kesi anazofungua, yeye kila siku ni chali mahakamani halafu wewe unamtetea kwa vile ni kabila lako. Tanzania ya sasa sio ya kuonana mafala, ---- ni wewe unayeleta utetezi bila DATA wakati rekodi ya huyo KILAZA Feleshi inajionyesha yenyewe. Wakili Nguli Tundu Lissu alishawahi kusema hakumbuki ni lini kesi zilizofunguliwa na huyu DPP ziliwahi kushinda mahakamani. Huyu Feleshi ni mzigo kwa taifa.
Bila shaka, na inaskitisha sana kuona mtu akimchafua Feleshi kwa grounds izo, nadhani hata wanasheria wenzangu tunaofahamu uadilifu wa huyu jamaa na pamoja na mazingira magumu anayofanyia kazi bado ni mchapa kazi wa kuligia mfano aisee, na kwa viongozi waandamizi wa Serikali nadhani huyu atakuwa wa mwisho kumsema vibaya.
Labda mkubaliane tu kuwa hii ni taasisi ambayo ni dysfunctional.Ninawasiwasi hata kama unafahamu taratibu za kufungua mashtaka mbalimbali, ungefahamu kuwa DPP ni taasisi usingekurupuka kuanika utupu wako kichwani hapa.
Bado siamini na nadhani nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa CHADEMA ni chama cha kikabila, chunga kauli zako, ni huyohuyo ndo Rais wa waendesha mashtaka Afrika na ni makamu kwa nchi za Jumuia ya madola, DPP Feleshi yuko smart sana upstairs mkuu sio kilaza.

We jamaa tuondolee ushamba wako hapa, unaongelea UADILIFU wa Feleshi na kufanya kazi katika mazingira magumu, mazingira hayo magumu ni yepi? Kuambiwa na Mwigulu fungua shtaka la Ughaidi dhidi ya kila anayepingana na Mwigulu au??
Uadilifu wa Mwendesha mashtaka unaonekana kama atapeleka kesi mahakamani na akaibuka na ushindi, hakuna uadilifu mwingine. Kuvaa yale manguo yenu meusi sio uadilifu kama mnashindwa kesi kwa 95%, huo ni ujinga na kuchezea resources zetu. Huyu Feleshi ni janga la kidunia, hivi kwa mfano hawa mnaowabambikia kesi za kijinga kama hizo wakiamua kudai fidia kwa defamation of character mnazo hela za kuwalipa. Huyu Feleshi hana tofauti na BUSH LAWYERS tu...
Sasa CHADEMA imeingiaje tena hapa mkuu?..jibu hoja na punguza jazba!