westandtogether
Senior Member
- Jul 8, 2020
- 176
- 257
Njoo ujibu swali hukuHabari wanajf,
Mimi ni kijani umri miaka 26 mkazi wa Dar, Nimesomea diploma ktk course ya electrical and electronics engineering
Natafuta kazi ya muda au kudumu kwa sehemu yoyote kwa taasisi, kampuni , kiwandani n.k
Naomba tusaidiane wakuu.ahsante
Kwa mawasiliano; 0711633656/0683263330
unaweza kazi ya domestic electrical installation? kufanya wiring za nyumba

Tunahitaji mtu wa kufanya kazi za electronics na kufundisha pia.Habari wanajf,