Sijaelewa unamaanisha nini kusema vyuo vingine vipo wapi..... au una maana kua vyuo vilivyoorodheshwa hapo ndo vinavyofundisha compuer programming courses... naomba ufafanuzi kidogo
Sio hvyo tu, kuna vyuo vingi sana tanzania vinafundisha programming, cha kwanza ni university of dar es lakini havijaorodheshwa hapo kwenye hiyo link... Nilitaraji walau some people from hvyo vyou nao wangeweka hata comment kua vyuo vyao navyo vipo!