Katika hili hatiuwezi kusema tunasapoti uhalifu lakini kwa hali ilivyo inashangaza kwa jinsi gani serikali ilivyolala.Wachina ndo wauza urembo kariakoo,wachina ndo wanapiga debe kwenye magari yao ubungo.Kwenye magereji yao wanazaliana kama hawana akili nzuri.Mfano pale Shekilango kuna gereji moja ya wachina ambapo wamejazana kama upupu.Hivi vibali vya kuingia nchini wanavipataje?Tunajua upo ushirikiano mkubwa wa kidiplomasia kati ya Tz na China kutokana na kuwa na idiolojia ya kijamaa uliojengwa enzi za Mao na Nyerere,lakini ni watanzania wangapi wanauza karanga kwenye masoko ya china?Ni watanzania wangapi ni makahaba kule china kama ilivyo kwetu?hawa watu ni very harsh,kule Kagera(Bukoba) wakati wa ujenzi wa barabara ya Bukoba-Muleba kuna vibarua waliwahi kumchinja mchina kwa sababu walikuwa wakinyayaswa.Kwenye upande wa ajira hapa nchini,ukienda mahakama ya kazi na baraza la usuluhishi(CMA) makampuni ya wachina yenye migogoro ya kazi ni mengi kutokana na mazingira ya kazi kuwa mabaya.Dalili ya mvua ni mawingu wazalendo hawa hawana msaada,kuchukua sheria mkononi ndo limekuwa suluhisho.Tumwombe Mungu aepushe balaa zaidi.