Tatizo si kuruhusu importation, tatizo ni utawala wetu unao muongezea cost local producer, kama hilo suala la umeme, barabara mbofu mbofu, uzembe ambo unamuongezea mzalishaji gharama etc etc. Tatizo tulio wakabidhi nji wengi wap ni mafisadiWe need to have good Government employees (for whom we pay salaries out of our taxes) to at least think and feel for the country and fellow citizens. Inasikitisha sana kwamba hawa wenzetu wakipata wanajisahau kabisa kwamba kuna binadamu wenzao ambao wanaumia kutokana na decision zao za kishenzi (eti fair competition). Wenzetu hawana UZALENDO! hivi yale mazungumzo kuhusu wa asia na waswahili hayana maana, kwani wengi wa hao wanaofanya haya madudu serikalini 99% ni ndugu zetu kabisa na siyo wa asia - tubadilike jamani
Njowepo, you have given a very simple ration for the Govt to understand costs that TZ companies have to face in comparison with Imported Goods.
Kura ya mwananchi really matters, bado hatuna chama cha upinzani ambacho kinaweza kukidhi matakwa ya wananchi so that we can give our kuras to them!
Lakini tutafika
Katika mizunguko yangu nimekutana na hii cement ya nje toka Pakistani iko bwelele sokonni i mean nyingi.
Serikali walipojiwa jiwa juu na viwanda vya ndani ikasema inataka fair competition.
Swali utacompete na mtu ambaye bei yako ya umeme iko juu kwa uwiano wa 1:2.5?
Mbaya zaidi viwanda vyetu sasa vingine vimesimamisha production for weeks now since stock iko nyingi.
As a result TRA na TANESCO watakuwa seriuously impacted bse kuna viwanda vilikuwa vyalipa umeme mpka milioni 300.
Twende kwenye ajira,hali ikiendelea kuna uwezekano hivi viwanda vikappunguza wafanyakazi ambao ndio wapiga kura ????!!!Leave alone indirect employment!!!!
Tanznia tunaenda wapi?Worse still in such a recession unajaribu kuinua uchumi wa Pakistani kwa kuudororesha wetu.
Mimi nilielezea ktk mada fulani last week kwamba mbona India wanawabana wafanya biashara na mambo yanakwenda? Issue hapa ni uongozi mbovu, ni hivi karibuni TZ ilikuwa na uhaba wa cement na bei ikawa juu. Kuingiza cement kutoka nje siyo vibaya ila kinacho takiwa ni kuweka kodi kubwa ili na hawa wa ndani waweze kuuza na kuzalisha!
Ukiangalia India wanatengeneza magari yao na yanauzika kwa sababu kodi ya kuingiza gari kutoka japan na kwingineko ni kubwa sana kwa hiyo mfanya biashara anaona bora auze vigari hivyo hivyo vya kihindi japo siyo imara.
Sijui kama mawaziri wetu wanatembelea JF mbona tunatoa ushauri kila mara wa kutoka kuendesa wizara lakini utashangaa mtu anarudia madudu yale yale ya miaka ya 80.
Kwa aliye karibu na waziri Nagu ampigie simu amweleze awe anaomba ushauri hapa Jf!!
Punguzeni bei ya umeme cement ya nchini iwe competitive.The tricky part is kupunguza bei ya umeme is not that easy partly kwa sababu ya mikataba ya kijinga walioingia walafi wachache, ingawa bei yetu ya umeme ilikuwa juu sana hata kabla ya mikataba hii.