Edo ni kifaa,binafsi huyu jamaa namkubali sana kwenye ulingo hasa wa kispoti.Kwa ujumla ni mweledi kwa kile anachokiandika katika makala zake za magazetini lkn hata ukimsikiliza kwenye uchambuzi wa michezo na hasa soka utagundua jamaa habahatishi.
Sina maneno mengi ya kumuelezea jamaa zaidi ya hayo,jamaa anajua.
Ni mwaandishi na mchambuzi wa habari za michezo hajaingia zamani katika sanaa hiyo ila amewateka vijana wengi hii kulingana na maneno yake teule na udadisi alokua nao na hamu ya kufatilia mambo ya michezo akitoa comments zake katika soka utazipenda na kuzifurahia
"....Ishakuwa soo mtaani kashfa kibao, Ngwea nshaamua sasa Milupo no, nahitaji honey, mwandani, aendane Nami"......dah hatari sana hii kitu inaitwa WIFE...Albert Mangwea na DAZ BABA.... Ipo siku muziki wetu utarudi. Rest in peace Albert.
Jamaa ana weledi wa hali ya juu katika kuchambua masuala mbalimbali ya kijamii na kimichezo anastahili kupewa cheo flani pale TFF naona tungepiga hatua tisa mbele