utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 540
- 1,383
Sana... kuna baloz wa Finland aliyemalizaga muda wake akaamua kuoa lishangazi la kizaramo wakanunua nyumba mbezi nakuanza maisha mapyaBongo patamu aisee
Mkuu huo ndo ukweli.. ukijaribu kufatilia hili sakata huwezi kuona popote uongozi wa Yanga umemletea zengwe MayeleJapo ina ukweli fulani..
Usivute bangi mbichi.Mayele alipofanya interview Azam tv yanga walilalamika mpaka ikaondolewa, Ila vilaza kina kumwembe wakimwandika vibaya Mayele mnashangilia hamsemi habari ifutwe.
Na timu alizokuwa anazifunga zilikuwa ni ndogo mno kuliko timu ya kawaida aliyokuwa akiichezea si ndiyo eeehMayele ni mchezaji wa kawaida sana hapa bongo alionekana mchezaji mzuri kwasababu club aliyokua anaichezea ni ya kawaida sana
Wacha wee,huyo ni mwandishi wa habari eeh!Kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya soka, Edo Kumwembe ambaye amefunguka sakata la mshambuliajiwa Pyramids Fc ya Misri, Fiston Mayele kuwatupia madongo waajiri wake wa zamani, Klabu ya Yanga.
“Nadhani kuna tabia ambayo Mayele aliificha akiwa Young Africans na sasa ameifichua. Kutaka kuonekana mkubwa na mfalme. Bahati mbaya inamuumiza pia kwamba Young Africans wanasonga mbele bila ya yeye. Huwa inatokea unapoachana na mpenzi wako. Hautaki yamtokee mema mbele ya safari.
Lakini kuna uwezekano mkubwa Mayele anaumwa ugonjwa wa kupenda nyumbani (home sickness). Tayari Tanzania kulishakuwa nyumbani kwake na aina ya maisha ya Tanzania yalimuingia kwelikweli.
Maisha ya uwanjani, mitaani na mitandaoni. Tanzania bado haijamtoka. Bado ipo akilini mwake. Mwili upo Misri, lakini akili ipo Tanzania.
Inawatokea wageni wengi waliowahi kuishi Tanzania. Sio tu wanasoka kama kina Bernard Morrison ambao tunaona kila siku wanazurura Dar es salaam ingawa wanacheza soka la kulipwa Morocco, lakini pia kwa wageni wengine. Hata kuna mabalozi wa nchi za nje hawaishi kurudi kutembea Tanzania baada ya muda wao kuisha," amesema Edo Kumwembe.
-------------------
Kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya soka, Edo Kumwembe ambaye amefunguka sakata la mshambuliajiwa Pyramids Fc ya Misri, Fiston Mayele kuwatupia madongo waajiri wake wa zamani, Klabu ya Yanga.
“Nadhani kuna tabia ambayo Mayele aliificha akiwa Young Africans na sasa ameifichua. Kutaka kuonekana mkubwa na mfalme. Bahati mbaya inamuumiza pia kwamba Young Africans wanasonga mbele bila ya yeye. Huwa inatokea unapoachana na mpenzi wako. Hautaki yamtokee mema mbele ya safari.
Lakini kuna uwezekano mkubwa Mayele anaumwa ugonjwa wa kupenda nyumbani (home sickness). Tayari Tanzania kulishakuwa nyumbani kwake na aina ya maisha ya Tanzania yalimuingia kwelikweli.
Maisha ya uwanjani, mitaani na mitandaoni. Tanzania bado haijamtoka. Bado ipo akilini mwake. Mwili upo Misri, lakini akili ipo Tanzania.
Inawatokea wageni wengi waliowahi kuishi Tanzania. Sio tu wanasoka kama kina Bernard Morrison ambao tunaona kila siku wanazurura Dar es salaam ingawa wanacheza soka la kulipwa Morocco, lakini pia kwa wageni wengine. Hata kuna mabalozi wa nchi za nje hawaishi kurudi kutembea Tanzania baada ya muda wao kuisha," amesema Edo Kumwembe.
-------------------
Huna akili, Edo na Azam wapi na wapi?Mayele alipofanya interview Azam tv yanga walilalamika mpaka ikaondolewa, Ila vilaza kina kumwembe wakimwandika vibaya Mayele mnashangilia hamsemi habari ifutwe.
Akafika nayo mpaka fainali ya CAF, hiyo ni club ya kawaida Sana? Benchika mmemuona wapi?Mayele ni mchezaji wa kawaida sana hapa bongo alionekana mchezaji mzuri kwasababu club aliyokua anaichezea ni ya kawaida sana
Yanga haijawahi kufika final ya caf au mpira umeanza kufatilia jana?Akafika nayo mpaka fainali ya CAF, hiyo ni club ya kawaida Sana? Benchika mmemuona wapi?
Basi ilicheza fainali ya UEFA na USMA.Yanga haijawahi kufika final ya caf au mpira umeanza kufatilia jana?
Kacheza final ya best looserBasi ilicheza fainali ya UEFA na USMA.
Ameandikwa vibaya au imesemwa ukweli?Mayele alipofanya interview Azam tv yanga walilalamika mpaka ikaondolewa, Ila vilaza kina kumwembe wakimwandika vibaya Mayele mnashangilia hamsemi habari ifutwe.