Mim ni mwanaume nina miaka 28,nimeoa kabla ha2jaoana mke wangu alikuwa na tabia ya kila nikimhitaji anasema hajisikii,nikadhan kuwa anahofu nitamchezea na kumuacha lakin cha kushangaza hata 2lipoingia kwny ndoa tatizo ndo linaongezeka ukiuliza naambiwa hajisikii kudo,sasa nauliza huo ndo upungufu wa nguvu za kike au nin? Naomba ufafanuz na majibu yenu