Ebola's threat: India Shutting the door on Africa

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,745
Reaction score
18,624
Kama ilivyo kuwa kwa Marekani, India nayo ilikuwa na imepanga kuwaalika Maraisi ya Afrika yoote kwa mpigo (isipokuwa Botswana wao huwa hawawendi) huko nchini India, lakini wamebadilisha uamuzi wao kwa kuongopa kupelekewa Ebola (isipokuwa Botswana na nchi za A.Kaskazini wao huwa hawahudhurii)!

Hivyo wanasubiri mpaka hapo mwakani wakati labda chanjo itakapokuwa imepatikana na wote kuchanjwa kwanza ndio waruhusiwe kwenda India kwenye huo mkutano!

Kwa habari zaidi soma hapo chini!



Source: Economist

Ebola's threat to India: Shutting the door on Africa | The Economist
 
Te te te...
Rafiki yangu alienda hosp nchi fulani
Cha kwanza wakamuuliza kama anatokea west Africa...
Wana haki ya kuchukua tahadhari...
But it increasingly feels bad kuwa mwafrika ukiwa ulimwengu mwingine...
 
Kuna mkutano mwingine nchi fulani wa kuhusu kufanya biashara Afrika...

mgeni rasmi rais wa Liberia...

Kila siku napata e mail za kukumbushia ku register (kwa discount maana ni wa kulipia)

Nikajiuliza hata bure siendi...
Huyu mama (Rais wa Liberia) si atakuja na delegation yake...
Kuna usalama hapo kweli...
Na wazungu nao wanapenda sana ku take risks....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…