mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Hiyo inatokea. Mara nyingi zinakua salama sana ila tatizo kuna wauzaji wana tamaa na wengine wanaingia kwa gia ya utapeli. Kwa io anakutegea ukikosea hatua moja tuu anakulambaDuu bonge la mshtuko.. $900 siyo mchezo,haya mauziano ya kimtandao.mteja analindwaje ili kufidiwa?..
Umakini wa hali ya juu sana. Na hata ikitokea umerudishiwa pesa yako tayari utakua umeshakula hasara kwani hautafika siku hiyo.Lazima ujue kuwa ebay sio duka ila ni kama sehem ya mnada yaani kuna wauzaji mbalimbali. So kuna baadhi ya wauzaji ni untrusted so inabid umakin
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sio mazuri kucheka lakini daaaaaah calculator..... I bet hata haifanyi kazi...... Ebana eeeeeh.
Tangu nimeanza kufanya online pyrchases sijawahi kukutwa na janga la kunihuzunisha.
Mi huo naenda kwa machale. Mzigo ukiwa ghali naacha kama naweza kuusplit nanunua nusu ukifika namalizia nusu ingine.
Kwa kifupi jamaa hawa sijawahi kuwatumia zaidi ya dola 100. Kuna watu wana mkono mzuri wanatuma mpaka $1000 na mali zao zinafika.
Mwenzetu hapo kwenye video (Mzungu wa huko sjui wapi ) yamemkuta baada ya kutuma $900 anunue sim aina ya Nexus na kudhulumiwa
Wachina wana size ndogo sana nguo zao ukinunua ongeza size kidogoEBay sina hamu nao, issue ya 'quality' hawaizingatii hasa ktk mavazi,picha na utakachopata quality tofaautii...esp Chinese Sellers
Sijui wa UK huko wanaweza kuwa genuine perhaps.