Hata mm nimeliona hili inasemekana IPP hawatoi mikataba ya maana ndo maana wanakimbiwa na watangazaj vichwa.Uzembe mwingine hawafany replacement haraka,EA radio zunguken mikoan mbona kuna presenters wakal tu!
Hivi kama hawa jamaa wanalipa kidogo na wana nyanyasa watangazaji kama mnavyosema mbona kuna watangazaji wanahamia huko?
Hivi wanaoondoka Clouds sababu huwa ni nini? Kuna mwingine hata ufanye nini huwezi kumlazimisha mtangazaji kuendelea kufanya kazi na wewe!
Hebu tuambie EA radio wanalipa ngapi na Clouds wanalipa ngapi?
Yani kila leo mnaondokewa na watangazaji ninao wakubali are u still paying them "vijimshahara" ama? Juzi kaondoka George Bantu leo naangalia insta ya clouds namwona tena Kenedy the remedy whats wrong with you guys yani gap la miezi mnawapoteza wafanyakazi wazuri wawili tena walikua wanaendesha kipindi kimoja? Kabla yao kaondoka Dj Mafuvu wote hawa ni majembe hatari alafu kabla yao aliondoka Sebastian alafu 90% wanaenda sehemu moja.
Mnatuboa kwa kweli u dont f* care abt ur fans.
Kennedy the remedy kaniuma sana kwenda mawingu..
alikuwa anatangaza kipindi gan
Ian kichwa bana, daaami nampenda Ian yule Mkenya