...ebwana hii 6 home players+5 foreigners pamoja na kutuathiri Arsenal, lakini pia wachezaji wengi toka africa na ulaya mashariki wataathirika na mfumo huu hasa kwenye Premiership, Bundesliga, La liga, Serie A na Ligue 1 ya ufaransa...
Huu mfumo kwa namna fulani naona ni kutaka tu kupunguza nguvu ya English premier league, mbona wakati huo Marseille, PSG, na Monaco zilipokuwa zinatesa ulaya hawakuyasema haya?...
Platini ana donge na mafanikio ya English Premier league, kwani Man U, Arsenal, Chelsea na Liverpool zipo kwenye league of their own, followed by Barcelona, Real Madrid, Juve, Ac Milan...
kwa mbaaali ndio unaiona Lyon inajikongoja, Platini (mfaransa) na Blatter sijui mswisi yule, hawataki!!!