Umetumia kigezo gani kusema man city ndio yenye matumaini?,maana kwenye takwimu Liverpool uefa ndio bora kuliko man city .halafu swala la kuingiza timu timu nyingi hatua hiyo si hoja,subiri timu za spain wachukue kombe ndio upige kelele,nimekuzarau na nimekuona ujui mpira eti labda upinzani kidogo unaweza kutoka kwa bayen,umesahau huyo coacher wa bayen ndio ndio aliwafunga barcelona jumla ya goli 7-1 home/away Baada ya hapo alienda kuchukua kombe la uefa,Baada ya hapo tena akaachakufundisha soka 2013//2014,sasa katikati ya msimu huu bayen wamemuomba aruditena kuifundisha timu kwa muda mpaka pale watakapo pata kocha ,baada ya kuchukua timu huyo kocha hivyo vipigo alivyovitoa ni vya ujazo.
Takwimu gani mkuu, Man city ya mwaka huu ni Man city bora zaidi kuwahi kutokea hiko ndio kigezo changu.
Liverpool na Man city ni kama mbingu na ardhi japokuwa zinatokea ligi moja
amepigwa na basel akiwa ameshafuzu hana cha kupoteza, alishamaliza kazi ugenini wakaanza watu ambao sio regular starters..Liverpool kafungwa mechi ngapi ? Na man city kapoteza mechi ngapi?
Liverpool ana goli ngapi na man city anagoli ngapi nazungumzia uefa mkuu.
Takwimu zingine zilete wewe za city kumzidi Liverpool kwenye ligi ya uefa.angalia performance ya timu kwenye ligi ya uefa na sio ligi aliyotoka,kama ndio hivyo Liverpool asingechukua uefa 2005,maana alikuwa namba4.
Epl city anaonekana kashindikana lakini uefa anadungwa na basel tena nyumbani.
nenda kameze dawa mkuuNyie jitekenyen lig bora ni epl tu
Ndevu za Messi [emoji23][emoji23][emoji23]Sasa barce na malaga ulitaka uangalie nini..ndevu za messi!?..hapo hukuangalia ubora wa mechi bali ubora wa barcelona
Kwani msimu wa 2015/16, bingwa si alikuwa Real Madrid? Alichukuaje ubingwa kama aliondoshwa mashindanoni na Juventus?Kwa hatua inayofuata Barcelona na Real Madrid wanaweza kuondolewa kwenye mashindano Aidha Bayern au Juventus kwa kipindi cha takribani misimu miwili waliondoshwa na hizo timu kama Juventus ilishawaondoa wote hao wawili Real Madrid msimu wa 2015/16 na Barcelona 2016/17
Ila sevilla hajanyea manati!?Kunguru kunyea manati
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] aisee matusi hayaHeri kutazama Barca wakifanya mazoezi kuliko Mechi za EPL.
Wewe hufuatilii mpira. Ligi ngumu Duniani ni ligi ya Brazil. Kule hakunaga timu kubwa ya kudumu.Ligi kuu ya Uingereza ni ligi ngumu kabisa duniani chakushangaza haina ubora. Hakuna ligi ngumu duniani kama ya Uingereza ikifuatiwa na vpl.
Ugumu wake umeifanya vyombo vya habari vimeipaisha ndio maana kila mpenda soka anaifahamu lakini hakuna cha maana pale. Waingereza bhana we acha tu wanapenda vya kwao balaa.