Sasa barce na malaga ulitaka uangalie nini..ndevu za messi!?..hapo hukuangalia ubora wa mechi bali ubora wa barcelonaLigi ya England ina publicity kubwa tu ila kwa ubora wa soka ni hovyo kabisa.
Kuna banda moja jamaa aligoma kutuonesha Barca vs Malaga akaonesha Watford vs Bournemouth.. Really?
Kunguru kunyea manatiMadrid alipigwa vizuri tu na spurs..ubora cjui ulienda wapi!
Ha ha ha ha ha ha ha haLigi ya England ina publicity kubwa tu ila kwa ubora wa soka ni hovyo kabisa.
Kuna banda moja jamaa aligoma kutuonesha Barca vs Malaga akaonesha Watford vs Bournemouth.. Really?
Heri kutazama Barca wakifanya mazoezi kuliko Mechi za EPL.Sasa barce na malaga ulitaka uangalie nini..ndevu za messi!?..hapo hukuangalia ubora wa mechi bali ubora wa barcelona
Ubora? ugumu?Nyie jitekenyen lig bora ni epl tu
Ngapi?Mbona zinafungwa na sevilla?
Mkuu, misimu inabadilika. Juve huyo huyo si kapigwa 3 na Barca Camp Nou msimu huu?Kwa hatua inayofuata Barcelona na Real Madrid wanaweza kuondolewa kwenye mashindano Aidha Bayern au Juventus kwa kipindi cha takribani misimu miwili waliondoshwa na hizo timu kama Juventus ilishawaondoa wote hao wawili Real Madrid msimu wa 2015/16 na Barcelona 2016/17
we unayeujua mpira tuambie tokea 2015 UEFA huwa inachukuliwa na timu gani?Umetumia kigezo gani kusema man city ndio yenye matumaini?,maana kwenye takwimu Liverpool uefa ndio bora kuliko man city .halafu swala la kuingiza timu timu nyingi hatua hiyo si hoja,subiri timu za spain wachukue kombe ndio upige kelele,nimekuzarau na nimekuona ujui mpira eti labda upinzani kidogo unaweza kutoka kwa bayen,umesahau huyo coacher wa bayen ndio ndio aliwafunga barcelona jumla ya goli 7-1 home/away Baada ya hapo alienda kuchukua kombe la uefa,Baada ya hapo tena akaachakufundisha soka 2013//2014,sasa katikati ya msimu huu bayen wamemuomba aruditena kuifundisha timu kwa muda mpaka pale watakapo pata kocha ,baada ya kuchukua timu huyo kocha hivyo vipigo alivyovitoa ni vya ujazo.