Wajameni, Nilipokuwa mdogo, kaka yangu alinililia nije nisomee uganga ila mie nikaogopa damu. Sasa kama jirani yako hapo ulipo kuna kijana anasomea Uganga, basi mwaweza wapatia hii kitu wakasoma na kwenda kufaulu huu mtihani mgumu kabisa katika medicine yaani Human Anatomy. Mungu ibariki Tanzania.
Acland's DVD Atlas of Human Anatomy, DVD 6: The Internal Organs