badison JF-Expert Member Joined May 29, 2015 Posts 1,449 Reaction score 2,820 Jan 20, 2019 #1 Wafanyakazi Mtaishia Kulalamika Sana. Lakini huu Ndio Ukweli. Mtaishia Kuwa Watumwa kwa Wanasiasa. Mtaishia kutumika Hadi Uzeeni, Mtanyonywa Sana Nguvu Zenu Hadi Pale Mnakuwa Wazee. Attachments Screenshot_20190119-182306_Instagram~2.jpg 80.6 KB · Views: 31
Wafanyakazi Mtaishia Kulalamika Sana. Lakini huu Ndio Ukweli. Mtaishia Kuwa Watumwa kwa Wanasiasa. Mtaishia kutumika Hadi Uzeeni, Mtanyonywa Sana Nguvu Zenu Hadi Pale Mnakuwa Wazee.