Dunia tunapita

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Vyote tutaviacha!
 

Attachments

  • TUTAVIACHA.jpg
    18.2 KB · Views: 433
So what, tuwe tunaishi kwenye makaburi kwa vile ndicho tutakachopata, sijakusoma mkuu
 
it is true ila sioni ubaya wa kuishi nyumba nzuri... make yourself useful, do good to the world, prepare well for the life after death.

Ningependa kuishi kwenye nyumba nzuri, lakini pia nitende mema... kiimani zaidi tunachofukia ni udongo tu, kwahiyo hata ukinitupa porini... haidhuru kwangu.

Tusiogope kaburi bali adhabu za mauti
 
well said mkuu!!!!
 
Mwanaadamu ataondoka na "Matendo yake" Lakini kuishi nyumba nzuri ni wajibu wake na kujiaanda kaburini ni tegemeo.
 
Ufunuo wa Yohana 14 : 13 Nikasikia sauti kutoka
mbinguni ikisema, Andika,
Heri wafu wafao katika Bwana
tangu sasa. Naam, asema Roho,
wapate kupumzika baada ya
taabu zao; kwa kuwa matendo
yao yafuatana nao.

1 Wathesalonike 4 : 13-18

4.13 Lakini, ndugu, hatutaki
msijue habari zao waliolala
mauti, msije mkahuzunika kama
na wengine wasio na matumaini.
4.14 Maana, ikiwa twaamini ya
kwamba Yesu alikufa akafufuka,
vivyo hivyo na hao waliolala
katika Yesu, Mungu atawaleta
pamoja naye.
4.15 Kwa kuwa twawaambieni
haya kwa neno la Bwana,
kwamba sisi tulio hai,
tutakaosalia hata wakati wa kuja
kwake Bwana, hakika
hatutawatangulia wao
waliokwisha kulala mauti.
4.16 Kwa sababu Bwana
mwenyewe atashuka kutoka
mbinguni pamoja na mwaliko, na
sauti ya malaika mkuu, na
parapanda ya Mungu; nao
waliokufa katika Kristo
watafufuliwa kwanza.
4.17 Kisha sisi tulio hai,
tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja
nao katika mawingu, ili tumlaki
Bwana hewani; na hivyo tutakuwa
pamoja na Bwana milele.
4.18 Basi, farijianeni kwa
maneno hayo.
 
Binaadamu huwa tunajiandaa sana kwa maisha ya duniani ambayo ni so temporal na kusahau yale yasiyo na ukomo. Kama tungekuwa tunakwenda na mali zetu mbinguni sijui wavuja jasho tungeaibikaje! Lakini ni vema kuishi pazuri duniani huku ukiishi maisha yanayompendeza Mungu ili siku hiyo uwe pazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…