Ukiwa kwenye kazi kupata kazi huwa ni rahisi sana,connection na watu tofauti huwa inaongezeka tena wengine wanatamani wakutoe pale ulipo kwa salary zaidi.
Ngoja uwe huna kazi uone hata wale walikua wanatamani uwe mfanyakazi wao hata simu zako hawapokei.
Dunia kizunguzungu sana