habar wana jf.... jana jioni nikiwa narejea pahala nilipofikia huku rufiji nikakuta mama anamchapa mwanae wa kiume kama mfugo ikaniuma xana nikahc labda ni mtt wake wa kambo, nikataka kujua xababu ya adhab hyo....'Mwangalie mwenyewe alivyoharibika mfereji wa maji taka wote umebolewa' xo namchapa hataki mtaja mhucka mkuu....mtt wa miaka mitano tena wa kiume....imeniuma xana!!!
Hivi 'x' ni rahisi kuandika kuliko 's'?!!!
Kajifunze kuandika kiswahili fasaha
Hivi 'x' ni rahisi kuandika kuliko 's'?!!!
Alafu jitu zima linaandika Xaxa badala ya Sasa' ili iweje sasa?!
Huko rufiji si wanapenda ccm huko
Hivi 'x' ni rahisi kuandika kuliko 's'?!!!
Hivi 'x' ni rahisi kuandika kuliko 's'?!!!
Ndiyo dijitali yenyewe hyo.
Hivi 'x' ni rahisi kuandika kuliko 's'?!!!