MGOGO27 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2016 Posts 459 Reaction score 218 Sep 29, 2016 #1 Naomba tuwe wakweli kuhusu huu usafiri japo wengi hautuhusu kwa maana hatupandagi lakini tunayonafasi ya kutia neno
Naomba tuwe wakweli kuhusu huu usafiri japo wengi hautuhusu kwa maana hatupandagi lakini tunayonafasi ya kutia neno
Ngorunde Platinum Member Joined Nov 17, 2006 Posts 5,499 Reaction score 11,595 Sep 29, 2016 #2 Mashirika mengi ya ndege huwa yanakodi hizo ndege, sisi tumenunua. Ni mwanzo mzuri punde tutafika huko.
Mashirika mengi ya ndege huwa yanakodi hizo ndege, sisi tumenunua. Ni mwanzo mzuri punde tutafika huko.
fraule Member Joined Aug 26, 2015 Posts 78 Reaction score 19 Sep 29, 2016 #3 Ngorunde said: Mashirika mengi ya ndege huwa yanakodi hizo ndege, sisi tumenunua. Ni mwanzo mzuri punde tutafika huko. Click to expand... Sure Ngorunde
Ngorunde said: Mashirika mengi ya ndege huwa yanakodi hizo ndege, sisi tumenunua. Ni mwanzo mzuri punde tutafika huko. Click to expand... Sure Ngorunde
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 38,613 Reaction score 49,024 Sep 29, 2016 #4 Sijui umeelewa kinachofanyika sasa?
popo1986 JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 1,120 Reaction score 373 Sep 29, 2016 #5 Sijawai hata kupanda hapo sina cha kuchangia
famicho JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,218 Reaction score 2,919 Sep 29, 2016 #6 Hebu weka na pangaboi zetu
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,706 Reaction score 44,068 Sep 29, 2016 #7 Unanunua Ndege inayoshindana mwendo na Bajaji then unajisifu mpaka Dunia nzima inajua.
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,743 Sep 29, 2016 #8 Frank Wanjiru said: Unanunua Ndege inayoshindana mwendo na Bajaji then unajisifu mpaka Dunia nzima inajua. Click to expand... Watu hamna jema. Hivi unajua kuwa hiyo ndege zikianza safari ya kwenda mwanza na ndege ya fastjet zinatofautiana dakika 15 tu kufika mwanza.
Frank Wanjiru said: Unanunua Ndege inayoshindana mwendo na Bajaji then unajisifu mpaka Dunia nzima inajua. Click to expand... Watu hamna jema. Hivi unajua kuwa hiyo ndege zikianza safari ya kwenda mwanza na ndege ya fastjet zinatofautiana dakika 15 tu kufika mwanza.
Ka-nabyule Member Joined Jan 5, 2016 Posts 82 Reaction score 40 Sep 29, 2016 #9 Ipi itakayofika mwanzo?
MGOGO27 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2016 Posts 459 Reaction score 218 Sep 29, 2016 Thread starter #10 Ngorunde said: Mashirika mengi ya ndege huwa yanakodi hizo ndege, sisi tumenunua. Ni mwanzo mzuri punde tutafika huko. Click to expand... Wazo zuri mkuu Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Ngorunde said: Mashirika mengi ya ndege huwa yanakodi hizo ndege, sisi tumenunua. Ni mwanzo mzuri punde tutafika huko. Click to expand... Wazo zuri mkuu Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
majoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 2,706 Reaction score 5,111 Sep 29, 2016 #11 MGOGO27 said: Naomba tuwe wakweli kuhusu huu usafiri japo wengi hautuhusu kwa maana hatupandagi lakini tunayonafasi ya kutia neno View attachment 408888View attachment 408889View attachment 408890View attachment 408891View attachment 408892View attachment 408893View attachment 408894View attachment 408895View attachment 408896View attachment 408898 Click to expand... Penda na kukithamini chako Kitunze Utapata kizuri zaidi ya cha jirani yako gorofa hujengwa kuanzia chini.....
MGOGO27 said: Naomba tuwe wakweli kuhusu huu usafiri japo wengi hautuhusu kwa maana hatupandagi lakini tunayonafasi ya kutia neno View attachment 408888View attachment 408889View attachment 408890View attachment 408891View attachment 408892View attachment 408893View attachment 408894View attachment 408895View attachment 408896View attachment 408898 Click to expand... Penda na kukithamini chako Kitunze Utapata kizuri zaidi ya cha jirani yako gorofa hujengwa kuanzia chini.....
MGOGO27 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2016 Posts 459 Reaction score 218 Sep 29, 2016 Thread starter #12 popo1986 said: Sijawai hata kupanda hapo sina cha kuchangia Click to expand... Hata mimi sijawahi kupanda mkuu lakini yaliyomo yamo Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
popo1986 said: Sijawai hata kupanda hapo sina cha kuchangia Click to expand... Hata mimi sijawahi kupanda mkuu lakini yaliyomo yamo Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
MGOGO27 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2016 Posts 459 Reaction score 218 Sep 29, 2016 Thread starter #13 Frank Wanjiru said: Unanunua Ndege inayoshindana mwendo na Bajaji then unajisifu mpaka Dunia nzima inajua. Click to expand... Khaaakhakhaaaa
Frank Wanjiru said: Unanunua Ndege inayoshindana mwendo na Bajaji then unajisifu mpaka Dunia nzima inajua. Click to expand... Khaaakhakhaaaa
MGOGO27 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2016 Posts 459 Reaction score 218 Sep 29, 2016 Thread starter #14 famicho said: Hebu weka na pangaboi zetu Click to expand...
fraule Member Joined Aug 26, 2015 Posts 78 Reaction score 19 Sep 29, 2016 #15 Frank Wanjiru said: Unanunua Ndege inayoshindana mwendo na Bajaji then unajisifu mpaka Dunia nzima inajua. Click to expand... Ndo mwanzo ndugu yangu tutafka huko c unajua hatua za ukuaji kw mtoto,kuna kukaa,kutambaa,kucmama then kutembea huku akijfunza kuongea..
Frank Wanjiru said: Unanunua Ndege inayoshindana mwendo na Bajaji then unajisifu mpaka Dunia nzima inajua. Click to expand... Ndo mwanzo ndugu yangu tutafka huko c unajua hatua za ukuaji kw mtoto,kuna kukaa,kutambaa,kucmama then kutembea huku akijfunza kuongea..
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,835 Reaction score 14,727 Sep 29, 2016 #16 Kuna ndege zimewekwa hapo juu ambazo hazitengenezwi tena,sasa unalinganisha Ni hii Q400 mpya?,harafu ubora wa ndege siyo ukubwa wa umbo!,.
Kuna ndege zimewekwa hapo juu ambazo hazitengenezwi tena,sasa unalinganisha Ni hii Q400 mpya?,harafu ubora wa ndege siyo ukubwa wa umbo!,.
kagombe JF-Expert Member Joined Mar 1, 2015 Posts 3,624 Reaction score 1,826 Sep 29, 2016 #18 mwendo kasi
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,667 Reaction score 13,868 Sep 29, 2016 #19 Panga boi kiasi zinakosa utulivu angani, kama umepanda panga boi for the first time unaweza sema safari ya ndege haina utulivu
Panga boi kiasi zinakosa utulivu angani, kama umepanda panga boi for the first time unaweza sema safari ya ndege haina utulivu