Dumisha furaha daima

Katitima

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
631
Reaction score
122
maisha ukiyajengea majibu chanya utakuwa na furaha siku zote.
KWA MFANO,

1.ukipimgia simu mpenzi wako asipopokea,JIPE JIBU KUWA AMESINZIA HATA KAMA NI SAA NNE ASUBUHI.

2.akikuta missed calls zako na akaacha kukutafuta,JIPE JIBU KUWA HANA SALIO.

3.ukipiga simu ukakuta anaongea na mtu yaani simu yake inatumika hata kama ni saa sita usiku,JIPE JIBU KUWA ANAONGEA NA MZAZI WAKE.

4.ukipiga tena akawa hapatikani,JIPE JIBU KUWA SIMU YAKE IMEISHA CHAJI.

DUMISHA FURAHA DAIMA UISHI KWA AMANI SIKU ZOTE.
 
na ukikuta mwenzako anamlala jipe jibu tu amemuonea huruma mwenzio asiye na demu
 

hahahaaaaaa! Dah!
 
^^
Thread plagiarism, Kwa nini usi acknowledge kuwa hayo ni maneno ya Mtambuzi
^^

Tena aliichambua vizuri sana, si ni yule jamaa nyumba yake iliteketea kwa moto?
 
Last edited by a moderator:
neno 'wivu' litakuwa limekufa kabisa!

its not applicable in this world unless tuwe eden garden...
 
Yeah ukilala hahakutumia usiku mwema jipe jibu kuwa amepitiwa na usingizi hata kama ni kila siku
 
Kwa nini nijipe moyo? Mambo ya kujifariji sitaki mie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…