Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,428
Hahahha %$%%% hawa lol
kuna njemba ilienda hospitali na demu wake,mazungumzo kati yao na Dr yakawa hivi..Dr:mnasumbuliwa na nini?Dume😀okta naomba utuangalie tunavyofanya mapenzi..Dr:hamna tatizo mnaweza mkafanya...bac wakavua nguo zao na kuanza kuchakachuana .Dr:mie sijaona tatizo lolote ktk ufanyaji wenu wa mapenzi,kwani nyie mnahisi nn mnapofanya mapenzi? Dume:sie tulikuwa hatuna sehemu ya kwenda kufanyia mapenzi ndio maana tukaja hapa
si wangeenda hata kwenye vyoo vya kulipia sh 200 kama walikuwa hawana hata hela ya gest????????????
haaaaaaaaa