J Jack02 Member Joined Aug 11, 2018 Posts 6 Reaction score 0 Aug 11, 2018 #1 Mimi ni kijana nataka Kufungua duka la vifaa vya simu niko Iringa ila sijui wapi nitafungashia mzigo.
Mimi ni kijana nataka Kufungua duka la vifaa vya simu niko Iringa ila sijui wapi nitafungashia mzigo.
oko majimaji JF-Expert Member Joined Nov 11, 2016 Posts 846 Reaction score 2,259 Aug 11, 2018 #3 Jack02 said: Mimi ni kijana nataka Kufungua duka la vifaa vya simu niko Iringa ila sijui wapi nitafungashia mzigo. Click to expand... Nichek mim 0654574563. .pia nina uzi zangu humu unaweza kuziangalia..nipo kariakoo agrey street
Jack02 said: Mimi ni kijana nataka Kufungua duka la vifaa vya simu niko Iringa ila sijui wapi nitafungashia mzigo. Click to expand... Nichek mim 0654574563. .pia nina uzi zangu humu unaweza kuziangalia..nipo kariakoo agrey street
J Jack02 Member Joined Aug 11, 2018 Posts 6 Reaction score 0 Aug 11, 2018 Thread starter #4 oko majimaji said: Nichek mim 0654574563. .pia nina uzi zangu humu unaweza kuziangalia..nipo kariakoo agrey street Click to expand... Asante
oko majimaji said: Nichek mim 0654574563. .pia nina uzi zangu humu unaweza kuziangalia..nipo kariakoo agrey street Click to expand... Asante
J Jack02 Member Joined Aug 11, 2018 Posts 6 Reaction score 0 Aug 11, 2018 Thread starter #5 Joasi said: Dsm Click to expand... Ungekua specific ingesaidia sana mana DSM nikubwa
bbc JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 3,836 Reaction score 4,152 Aug 11, 2018 #6 Vijana wenzio waliopo hapo Iringa wao wanachukulia wapi?
J Jack02 Member Joined Aug 11, 2018 Posts 6 Reaction score 0 Aug 11, 2018 Thread starter #7 bbc said: Vijana wenzio waliopo hapo Iringa wao wanachukulia wapi? Click to expand... Nimejaribu kuwafata na kuwadadisi ila watanzania niwatu tunaopenda sifa unakuta duka linamtaji mdogotu ila anasema nafangashia Dubai
bbc said: Vijana wenzio waliopo hapo Iringa wao wanachukulia wapi? Click to expand... Nimejaribu kuwafata na kuwadadisi ila watanzania niwatu tunaopenda sifa unakuta duka linamtaji mdogotu ila anasema nafangashia Dubai
oko majimaji JF-Expert Member Joined Nov 11, 2016 Posts 846 Reaction score 2,259 Aug 11, 2018 #8 Jack02 said: Nimejaribu kuwafata na kuwadadisi ila watanzania niwatu tunaopenda sifa unakuta duka linamtaji mdogotu ila anasema nafangashia Dubai Click to expand... Hauko serious na biashara na usipoangalia watakutapeli.. kua makini
Jack02 said: Nimejaribu kuwafata na kuwadadisi ila watanzania niwatu tunaopenda sifa unakuta duka linamtaji mdogotu ila anasema nafangashia Dubai Click to expand... Hauko serious na biashara na usipoangalia watakutapeli.. kua makini
J Jack02 Member Joined Aug 11, 2018 Posts 6 Reaction score 0 Aug 11, 2018 Thread starter #9 oko majimaji said: Hauko serious na biashara na usipoangalia watakutapeli.. kua makini Click to expand... Asante
oko majimaji said: Hauko serious na biashara na usipoangalia watakutapeli.. kua makini Click to expand... Asante