DUKA LA COVER ZA SIMU NA SCREEN PROTECTOR

The mission 2017

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
4,724
Reaction score
10,061
NATUMAI MU WAZIMA WA MWILI, AKILI NA ROHO NA MNAENDELEA VYEMA KUIJENGA SERIKALI YA IWANDA.

Bila kupoteza muda swala liko hiv, mm ni kujana mwanafunz wa chuo mwaka wa2. Ninatani kuanza kufanya biashara ndogo ndogo ili niingie katika ulimwengu wa utaftaji hatimae kua economically independent.

Nimefikilia kuanzisha duka dogo la kuuza cover za simu na screen protector, kabla cja enda popote nikaona nianzie apa research yand maana naamin humu ni zaidi ya google.

Ningependa kujua mambo ya fuatayo;
>>> Wapi naweza kupata cover za simu za kisasa na protector kwa bei affordale kwa apa bongo?
>>>> Mwanzoni nilikua nawaza kuagiza kutoka china kwa kutumia alibaba express, sina uzoefu na hili kigugumizi kikubwa kiko kwenye masuala ya kodi, na uhakika wa kupata bidhaa nilio kusudia.



KARIBUNI WAKUU MNIPE ELIMU KIJANA WENU NIWEZE KUJIONDOA NA UPWEKE WA KUTOJISHUGHURISHA.
 
Mkuu hongera kwa hii topic. Tutajifunza wengi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…