Duh libya. kumbe hali mbaya hivi

I remember back in 2011, kuna Profesa alisema kuwa Libya ni another Somalia in making.... Kila Kikundi (miongoni mwa waliokuwa wanapigana na Ghadafi forces) kitataka kuunda Serikali na matokeo yake mapigano yatazidi..

 
Natamani wabongo nao wangejitambua kila mmoja tugombanie hizi rasilimali zetu.
bora watu wanafaike kwa magroup mengi kuliko kikundi kimoja eti viongozi wakuu wa CCM.
utasikia mabillioni yamechukuliwa kila siku. lakini hakuna kuwajibishana.
mara kampuni hewa imekomba mabillioni.
mara safari hewa mabillioni.
mara Wameficha mabillioni nje
utasikia wamebeba twiga wa mabillioni wamesafirisha nje.
mara Rais amesafiri kwa Mabillioni.
Mara wamelipa posho mabillioni.
utasikia wamelipa consultation mabillioni zaidi hata ya pesa za mradi.
Mara IGP kauza upanga wa dhahabu ya mamillioni.
utasikia wamenunua ndege screper kwa mabilioni.

wananchi tuamke kila upande ivutie kwake nchi isambaratike kila mmoja atafute namna ya kupata siyo wengine wakae wachukue zinazotafutwa na wananchi.
 

Gaddafi alikuwa anawatilia raia fedha katika akaunti zao kila mwezi.Mgao wa fedha zitokanazo na uuzaji wa mafuta. Zaidi angalia video.
 
Last edited by a moderator:

Inawezekana kabisa kuwa wewe ni Mnyarwanda na mawazo yako butu.
 
Inawezekana kabisa kuwa wewe ni Mnyarwanda na mawazo yako butu.

Kama huko ndo kujitambua kazi ipo. Siku ya kiyama kisimamamo kitakuwa si cha mzaha! Dhulma ya wazi inaitwa kujitambua, duh! You never know the worth of what you have until you've lost it.
 
Sasa hiyo amani waliyotaka kuleta hawa nchi za maghribi iko wapi ?Haohao wafaransa ilibidi waende malí kupigana na terrorists ambao wenyewe ndio waliwaamsha libya.Tutasikia sasa libya inakuwa somali mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…