Jamaa, kataka Mh. kafulila atoe ushahidi wa wazi, kwamba serikali imechochea kushinda kwa Dowans na kushindwa kwa serikali katika sakata la kulipwa kwa fidia Dowans. Swali hilo aliuliza mh. kafulila, na kuhaidi kwamba yupo tayari kutoa ushahidi,
Ndipo Mh. machari alipoomba mwongozo wa spika, ili kafulila aweze kutoa huo ushahidi, ila AG kamlazimisha spika, mwenyekiti kupanch hiyo issue na kweli jamaa kapanch tayari.