Hosting
Plans:
Duduhosting
Our Works:
Dudu
Portfolio Our Services:
Dudu Services
Katika dunia ya leo kumpata mtengenezaji wa Website si tatizo, ila
kumpata mtengenezaji wa website inayofikia malengo BADO ni tatizo KUBWA
kwa Tanzania.
Tukiwa ni kampuni inayofanya kazi zake kimataifa, na kwa kutambua
mchango wetu kwa jamii Dudumizi Solutions inakuletea ofa maalum ya
UNLIMITED HOSTING. Kwanini uchague Dudumizi ?
1. Tunamiliki Server zetu wenyewe na SIO kama wale waliokodisha nafasi
halafu nao wanakodisha wengine. Hivyo tuna uwezo wa kukugawia IP yako
mwenyewe. Hii ndio sababu, gharama zetu ni reliable na nafuu.
2. Tuna wataalamu wenye ujuzi na uzoefu juu ya IT na Biashara, hivyo
tunamaanisha tunachokisema.
3. Utapata FREE IT Audit Report toka kwa wataalmu wetu kila mwisho wa
mwaka, hii itakuwezesha kujua muendeleo wa biashara yako.
4. Huduma zetu ni za uhakika kwa 99.99%. Endapo itatokea siku moja
website haipo hewani zaidi ya masaa matatu kwa mwezi (accumulative sum)
kwa sababu ya server yetu, tunakupa mwezi mmoja bure wa hosting. Website
kama Mjengwablog.com inahostiwa na Dudumizi na ipo hewani 24/7 huku
ikiwa na maelfu ya watembeleaji.
Tembelea:
Dudumizi.com au tuandikie:
info@dudumizi.com
Tumia Coupon:
Jamiiforums kwenye Hosting kupata one month extra
FREE hosting.