Hata mimi nimeupdate ila naona haijakubali kwa hiyo azam tv turekebishieni.
Pia Azam tv jitahidini na star tv iwepo kwenye king'amuzi chenu, na kama mmeweka itv na EATV mnashindwaje kuweka na capital manake navyojua hizi channel zote 3 ni za mtu mmoja (kampuni moja).