Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
Weka baei tuone mkuu!It's a DSTV PVR (2 Tuner) that I am selling after an upgrade to DSTV Explora Decoder.
Serious buyer please check me on PM.
Bei ni laki 2
DSTV HD elfu 99?aisee hamna kitu kama hicho....una decoder ya kawaida tu ambayo ni SD.Mkuu huwa kinatofauti gani na cha DSTV HD ambacho nimenunua kwa elf 99!!
Kuna vitu gani nina vikosa?
DSTV HD elfu 99?aisee hamna kitu kama hicho....una decoder ya kawaida tu ambayo ni SD.
It's a DSTV PVR (2 Tuner) that I am selling after an upgrade to DSTV Explora Decoder.
Serious buyer please check me on PM.
Ni King'amuzi bossmkuu mm mshamba naomba unipe somo hicho faida yake kuu ni ipi mana zijaelewa kabisa nina kichwa cha panzi kigumu kuelewa
DSTV HD elfu 99?aisee hamna kitu kama hicho....una decoder ya kawaida tu ambayo ni SD.
Ungekuwa unaelewa usingeuliza hili swaliMkuu huwa kinatofauti gani na cha DSTV HD ambacho nimenunua kwa elf 99!!
Kuna vitu gani nina vikosa?
nina dekoda mbili za dstv nimezitupia store nataka ninunue na ya huyu jamaa nikaiweke kwenye banda la kuku
Sijui hata kama unafuatilia haya mambo!
Mwezi February multichoice Tanzania walikuwa na promotion ambapo mteja mwenye kinga'amuzi cha SD aliweza kubadilisha decoder yake na kupata HD kwa elf 32 lkn kwa mteja mpya ni elf 99! Na mm nilinunua changu!
Hata leo nenda duka lolote then tuletee mrejesho!
Laki 250 hutauza hapa nakuhakikishia!
Na kama kuna anae hitaji king'amuzi hicho cha HD kwa elf 99 aseme nimletee!