DStv Tanzania
Member
- May 13, 2019
- 26
- 18
Sasa ivi offer ya miezi miwili bure imeisha?
Je Local channels mzirudisha lini?
Channel za ndani jamani wekeni!
Changamoto Mojawapo ya DSTV ni bei ya vifurushi
Nitamsifu sana atakayenishawishi kununua DSTV kwa sababu nilishajijengea kwenye akili yangu kwamba
DSTV NI KWA AJILI YA WENYE NACHO
MATAJIRI
Hapana DStv kwa sasa ndio wenye vitu vizuri zaidi ukilinganisha na gharama zake,kwa maana ndio king'amuzi chenye bei nafuu ukilinganisha na vingine kwa sasa
Omie dstv nimetosha kabisa,unapata error signal hazitoki hata uongee na customer service,huu mwezi kikimaliza salio siweki pesa,siwezi kuwa nalipia kuangalia E-30
Ukijibiwa nitag mkuu
Siyo alfu79 tena asahivi
Offer ya one month sijailewa
Nataka reciver peke yake bila dish mnauzaje?
Reciever pekee ni 69,000 na ina package ndani ya mwezi 1