Drivers TRA 17DEC22

Nipo najiandaa na hiyo phase ya alama na practical. Watu bado wengi sana inabidi kukaza.
Ni kweli msuli unahitajika
Na kikubwa katika practical jitahidi alama za barabarani na revers Kaka uwe makini

Ukitoka hapo naamini oral huko uta win tu
Kwa uwezo wa Mungu

Upangaji wa gia uwe wa mtiririko
Usikimbize sana gari ikiwezekana hata 50kph tu sio mbaya
Si unajua TATA zao zile mbovu mbovu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kweli aisee kwanza ni kukomaa na alama, maana wazoefu wanasema kuna namna yake ya kuzielezea km kwenye kitabu.
Kwenye gari hapo ni utulivu na kudra, tukijaaliwa kufika oral basi insh'Allah tutaingia kwenye database.
 
Ndio mkuu
Jitahidi uzielewe vizuri

Mimi bado niko ground hata basic driving course
Ndio nimeanza mwaka huu natumai miaka miwili ijayo nianze kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kutafuta asali
Maana hata sasa bado experience kubwa sina ila naamin kila kitu kitakuwa sawa

Jitahidi sana Alama zile uzielezee na kama unavyojua sasa tunatumia alama zaNCHI ZA SADC kwa ujumla

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…