Corluka Neven
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 325
- 372
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]stori za vijiweniKwa hyo technically, dereva wa tra ana mshahara mkubwa kumzidi mwalimu wa sekondari. Life isnt fair!!
Tupe wewe za kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]stori za vijiweni
Jiandae Kwa practical kwanza hayo maswali yatakuja Kwa waliofaulu practicalWadau wa udereva na madereva walioitwa na ambao hawajaitwa kwenye mkeka wa TRA.
Written interview itakua jmosi 17dec, wadau naomba tuunde group discussion tujadili possible questions (whatsapp itakua poa au hata hapa jf poa tu).
Bila kupeana maujanja jamani wengine hatutotoboa!
[emoji1485]naanza na hili swali hapa..
Qn: Ishara, alama na michoro ya barabarani ni nini?
Ans:Ni lugha thabiti kuhusu mitandao ya barabara.
Maswali yako mangapi Sasa hapaSwali: Ni umbali gani dereva hatakiwi kuegesha gari kutoka..
a/kituo cha basi
b/zebra
c/daraja
Practical ni baada ya kufauru Written.Jiandae Kwa practical kwanza hayo maswali yatakuja Kwa waliofaulu practical
Nahisi swali hiliWadau wa udereva na madereva walioitwa na ambao hawajaitwa kwenye mkeka wa TRA.
Written interview itakua jmosi 17dec, wadau naomba tuunde group discussion tujadili possible questions (whatsapp itakua poa au hata hapa jf poa tu).
Bila kupeana maujanja jamani wengine hatutotoboa!
[emoji1485]naanza na hili swali hapa..
Qn: Ishara, alama na michoro ya barabarani ni nini?
Ans:Ni lugha thabiti kuhusu mitandao ya barabara.
Unaweza kushusha nondo bro kua yalikuaje hayo maswali kama unayakumbukaPaper tulifanya jmosi saa10 jioni japo walisema litakua saa5 asubuhi. Maswali yalikua matano, asilimia kubwa yalikua ya ufundi.
Tunasubiri matokeo.
Okay nitaandika km ninavyokumbuka, sio exactly km walivyoandika wao.Unaweza kushusha nondo bro kua yalikuaje hayo maswali kama unayakumbuka
Ok Shukran mkuu.Okay nitaandika km ninavyokumbuka, sio exactly km walivyoandika wao.
1/ Taja mambo matano yanayopunguza ubora wa oil.
2/kuna picha za alama ya zone ya albino,mwisho wa lori kuovatek gari ndogo, makutano ya T, na mchoro wa barabara ya njia tatu yenye mishale miwili kwenda mbele na mmoja unaochepusha kulia (hizo uelezee)
3/Taja mambo matano yanayofanya diesel iwake.
4/ Taa zipi kwenye dashboard utazingalia kabla hujatoa gari? Taja zozote tano.
5/ andika kirefu cha (a)SAE (b)ATF
#muda dk40 za magumashi,yani ghafla tu unasikia bado dk15[emoji2955] mara bado dk 5 dahh
Inafikirisha aisee raia hawataki kutoa ushirikiano, naamini humu wapo madereva mbalimbali. Ila hatuwazi ndio uzi umeanza tutautumia ipasavyo.Ok Shukran mkuu.
Mungu Akufanyie wepesi
Sisi wengine wageni katika maombi ya kazi katika kada ya udereva serikalini hivyo haya naamini yatatusaidia kujua namna maswali yao yanavyo toka hii itatupa experience zaidi
Ingawa nashauri kama kuna uzi wa madereva humu ningepata link yake au kama hamna basi ingewezekana kuanzishwa ingekua bomba sana
Kama huu Uzi ni ulikua smart sana kwa madereva lakini naona haukua na sapoti kubwa
Sijua shida iko wapi zaidi ila Hongera bro
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Madereva wengi wapo kwenye uzi unaoitwa "wazee wa Road trip mpo"Ok Shukran mkuu.
Mungu Akufanyie wepesi
Sisi wengine wageni katika maombi ya kazi katika kada ya udereva serikalini hivyo haya naamini yatatusaidia kujua namna maswali yao yanavyo toka hii itatupa experience zaidi
Ingawa nashauri kama kuna uzi wa madereva humu ningepata link yake au kama hamna basi ingewezekana kuanzishwa ingekua bomba sana
Kama huu Uzi ni ulikua smart sana kwa madereva lakini naona haukua na sapoti kubwa
Sijua shida iko wapi zaidi ila Hongera bro
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ok thanksMadereva wengi wapo kwenye uzi unaoitwa "wazee wa Road trip mpo"