achaga ujinga mastrr... acha jamaa akapambane..Watu wengi Mno ni kupoteza muda tu,Halafu unawezakuta wana watu wao tayari
Sasa watu wakapoteze fedha zao.achaga ujinga mastrr... acha jamaa akapambane..
usikatishe mtu tamaaa
Laki 8 na nusu baada ya makatoSijajua mzee,nikishangia kwenye payroll ntakupa jibu kamili.
Utakuta na yy ameomba anamkatisha tamaa mwenzake hili asiende wawe wachacheHiyo dhahania tu, km upo mkekani twenzetu kwani utapoteza nin? Sie wa dsm tutafanyia hapahapa.
Kwa hyo technically, dereva wa tra ana mshahara mkubwa kumzidi mwalimu wa sekondari. Life isnt fair!!Laki 8 na nusu baada ya makato
Shida sio ualimu shida ni wapi umeajiliwa. Ukiajiriwa Halmashauri njaa tu, Mwalimu wa digrii Halmashauri analipwa 760000 kabla ya makato, dereva analipwa 350000. Lakin walimu huyo huyo akiajiriwa vyuo vikuu au taasisi zingine za elimu mfano necta, tai kwa digrii yake hiyohiyo mshahara ni kati ya 1.2 hadi 1.5 zinatofautiana na taasisi. Pia dereva huyo huyo akiajiriwa psssf anakula milioni 1 na points. Hivyo Halmashauri njaa tu, cha msingi ni kupambana kupata kazi kwenye mashirika mfano TANESCO, NGORONGORO, TANAPA, TASAC, TAA, EWURA, TBS, VYUO VIKUU, JKCI, MOI, HNH, OSHA, BUNGE, au wizarani japo sio sana. Kwa ufupi ukiona gari ya serikali plate namba imeandikwa SU (shirika la umma) hapo mambi sio mabaya au STK, STL, na sasa ni STM (yaani ST- Serikali ya Tanzania)hapo napo kuna unafuu kidogo ila ukiona SM (Yaani serikali za mitaa-local government) hapo njaa tuKwani dereva analipwa kwa kukaa bure?
Sawa sawa mkuu, haya dondosha na possible questions tupambanie kombe.Shida sio ualimu shida ni wapi umeajiliwa. Ukiajiriwa Halmashauri njaa tu, Mwalimu wa digrii Halmashauri analipwa 760000 kabla ya makato, dereva analipwa 350000. Lakin walimu huyo huyo akiajiriwa vyuo vikuu au taasisi zingine za elimu mfano necta, tai kwa digrii yake hiyohiyo mshahara ni kati ya 1.2 hadi 1.5 zinatofautiana na taasisi. Pia dereva huyo huyo akiajiriwa psssf anakula milioni 1 na points. Hivyo Halmashauri njaa tu, cha msingi ni kupambana kupata kazi kwenye mashirika mfano TANESCO, NGORONGORO, TANAPA, TASAC, TAA, EWURA, TBS, VYUO VIKUU, JKCI, MOI, HNH, OSHA, BUNGE, au wizarani japo sio sana. Kwa ufupi ukiona gari ya serikali plate namba imeandikwa SU (shirika la umma) hapo mambi sio mabaya au STK, STL, na sasa ni STM (yaani ST- Serikali ya Tanzania)hapo napo kuna unafuu kidogo ila ukiona SM (Yaani serikali za mitaa-local government) hapo njaa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Laki 8 na nusu baada ya makato