Kujua gharama ya mfumo wa umwagiliaji ni lazima uwe na taarifa zifuatazo
1.Ujue unalima zao gan?
2.Spacing ya Row/Row na Plant/plant
3.Chanzo cha maji/tenki
Hapo unapata picha uweke mfumo wa aina gani ambao una gharama nafuu
Zaidi gharama ni 1,500,000-2,000,000/= hiyo inajumuisha gharama ya vifaa na ufundi ukitoa gharama za tenki au pampu.