Drip irrigation system

araway

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2007
Posts
534
Reaction score
147
wakuu natafuta system nzima ya drip irrigation kwa ekari moja naomba mwenye uelewa Wa wapi naweza pata na bei yake naomba anijuze.nitafurahi kama nitajua na bei
 
Nenda maeneo ya mwenge unakuwa kama unaenda coca kwanza utawaona balton wanauza i think kwa 1 hk ni kama 3m.
 
Nenda maeneo ya mwenge unakuwa kama unaenda coca kwanza utawaona balton wanauza i think kwa 1 hk ni kama 3m.
Duh, ghali sana.
tule tubomba tudogo vile kumbe tuna bei eeee?
 
wao wanakufanyia instal na pia wanakupa mbolea na mbegu ya uhakika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…