@Fene ana maroboti tupu hakuna anachokosa kikosini mwake lakini nado kiande, mimi ningekuwa kama yeye hata safe ingekuwa mwili kwangu.
Kongole sana kwao kumfundisha aadabu
Fene sasa hivi nishamtoa kwenye top Elites wa huu uzi kwa kipingo hiko ukichompa cha aibu kabisa..