Kipigo cha pili ndani ya siku moja ,haya kuanzia leo Mimi bingwa wako uanze kuniheshimu na inabidi nianze kupita mtaa kea mtaa labda nitapata bingwa maana Jf na online kote sina mpinzani
[mention]adriz [/mention] bingwa unadaiwa bado bingwa
..!! Sitaki uwe na kisingizio chochote lakini wewe ukishakuwa tayari kufuta uteja let me know sir. Jitahidi usiwe na kisingizio chochote cha kupigwa tena