Natoa zawadi ya elf 50 kwa yoyote kati yenu atakae pata ata sare tu kwangu.... nadhani hapa Africa hakuna mtu anaeweza kunifunga dream league.... yaan hua inafikia hatua natoa wacheza wote alaf nasajili mid players wenye rate 68 na 70 na nna beba kila kombe.

Kumbe kila kombe? Cheza online japo fika tier 6... na kikosi cha kawaida uone Msala au leta code na mi ntapanga wachezaji wa kawaida, ukipata hata sare ntakupa bando la mwezi...
Hapana , sasa hivi nipo Kijijini kabisa halafu mtandao wangu eneo nilipo internet shida natamani nije niendeleze kutoa dozi ila changamoto zinanikwamisha ila soon InshaAllah naingia Dar hapo nitakuwa free kugawa dozi.
Nilikua chimbo nagawa dozi tu sina mambo mengi... jana nimeanza kucheza za online hakuna ata mmoja aliepata sare... nimeanza jana naona leo niko tier 10 na basi niko bize.. nikiwa free nadhani ntakua tier 1 ndani ya masaa mawili tu.