Sasa Mimi na robot gani mkuu? Kikosi changu iko hapo nioneshe robot??? Kubali Tu umezidiwa kiwango halafu fanya usajili... Bado uko level ya Chini sana
Sasa Mimi na robot gani mkuu? Kikosi changu iko hapo nioneshe robot??? Kubali Tu umezidiwa kiwango halafu fanya usajili... Bado uko level ya Chini sanaView attachment 2743227
Huwezi fananisha inaonekana we ndo Kwanza uko daraja la tatu huko pambana Kwanza ukuze career yako.... Cheza Sana upate coin za kusajili.... Lakini pia Kwa mtu anayejua kucheza hata Kwa Hilo kikosi anashinda....
Sajili ndo uombe code vinginevyo utaishia kulala mika