mkuu unaikumbuka post yako wiki iliyopita??? Mi nililalamikia Hilo swala ukapinga ukasema mchezaji hodari haogopi kitu ni kucheza Tu ???
Ukweli mchungu ni kua huwezi shindana na timu iliyobustiwa utapigwa nyingi Sana... Otherwise ukutane na kibonde au wewe uwe na uwezo mkubwa yaani "exceptional" hivi hivi lazima ujute...
Naona yamekukutaaaa kuta kuta