Kuchasoni Kuchawangu
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 603
- 340
JEMBE KAZINI wapeni live magamba tumewachoka,PEOPLEEEEES.............P....,,,,Akiongea na wananchi wa kijiji cha Ziba Igunga jana.Dr slaa amesema ccm wamepeleka kusudio la kukata rufaa lakini hawajakata rufaa.hii ni
kuwafanya wanaigunga wakose mwakilishi maana wanajua uchaguzi ukirudiwa
watashindwa.Tumegundua njama zao tutaipindua hii mara moja,usalama wa
*taifa mliopo hapa pelekeni taarifa hizi. Sasa hivi mambo yetu tunayapeleka kisheria zaidi ndiyo maana natembea na wanasheria wangu alisema.
JEMBE KAZINI wapeni live magamba tumewachoka,PEOPLEEEEES.............P....,,,,
Picha ya Dr. Slaa akihutubia ya wasikilizajimje iko wapi,au wapo kiduchu mnaona aibuAkiongea na wananchi wa kijiji cha Ziba Igunga jana.Dr slaa amesema ccm wamepeleka kusudio la kukata rufaa lakini hawajakata rufaa.hii ni
kuwafanya wanaigunga wakose mwakilishi maana wanajua uchaguzi ukirudiwa
watashindwa.Tumegundua njama zao tutaipindua hii mara moja,usalama wa
taifa mliopo hapa pelekeni taarifa hizi. Sasa hivi mambo yetu tunayapeleka kisheria zaidi ndiyo maana natembea na wanasheria wangu alisema.
Akiongea na wananchi wa kijiji cha Ziba Igunga jana.Dr slaa amesema ccm wamepeleka kusudio la kukata rufaa lakini hawajakata rufaa.hii ni

Mkuuni vizuri ukatofautisha kusudio la kukata rufaa na rufaa yenyewe.Dr Slaa analopinga ni kupeleka kusudio mahakamani na kulitelekeza.alisema sumbawanga rufaa ya kesi ilikuwa ya nyuma lakini imemalizika wanajiandaa na uchaguzi.Igunga wanataka kuchelewesha kwa makusudi na wameligundua hilo.
Amesema wanafanya mambo kisheria asubiri sasa sheria ifuate mkondo wake ana wasi wasi gani?
Akiongea na wananchi wa kijiji cha Ziba Igunga jana.Dr slaa amesema ccm wamepeleka kusudio la kukata rufaa lakini hawajakata rufaa.hii ni
kuwafanya wanaigunga wakose mwakilishi maana wanajua uchaguzi ukirudiwa
watashindwa.Tumegundua njama zao tutaipindua hii mara moja,usalama wa
taifa mliopo hapa pelekeni taarifa hizi. Sasa hivi mambo yetu tunayapeleka kisheria zaidi ndiyo maana natembea na wanasheria wangu alisema.
Vyombo vya usalama au vyombo vya uhasama?Hana lolote huyu, alitaka tu ashambulie vyombo vya usalama kama kawaida yake.
SLAA anafikiri kesi hii ni sawa na ile ya kwake ya kuoa mama mshumbuzi, si unajua ombi lake la kutaka hiyo kesi ifutwe lilitupiliwa mbali.wana haki ya kukata rufaa sidhani kama kuna namna ya kuipinda hiyo kisheria. ccm wanafanya hivi kwa ajili ya kujiandaa pia
CDM bwana , wao kukata rufaa ruksa wengine kuweka pingamizi wanakuja na tumegundua ujanja wao.Pia ni vizuri itungwe sheria kudhibiti hali hiyo. Maana wana umia ni watanzania maskini.
Chadema na ccm wakumbuke wanaoumia ni wananchi.
Huyu SLAA analeta hasira za Kimasai kwenye siasa, kwani wanaokwenda mahakamani kupinga rufaa hawakufuata sheria? anapingana na sheria.Chadema na ccm wakumbuke wanaoumia ni wananchi.
Picha ya Dr. Mkuki akihutubia ya wasikilizajimje iko wapi,au wapo kiduchu mnaona aibu
Mkuu
Amesema wanafanya mambo kisheria asubiri sasa sheria ifuate mkondo wake ana wasi wasi gani?
Mkuu kumbuka kuna kucheleweshwa kwa sheria kwa makusudi pia.Wapo wabunge waliofunguliwa kesi zikaachwa mpaka vipindi vyao vya ubunge vikapita,ukaja uchaguzi wakashinda tena hukumu ikitoka wataondolewa ubunge wa sasa? maana kesi zipo mahakamani mpaka leo.