meningitis JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 8,464 Reaction score 4,828 Jul 28, 2015 #1 Hakuna atakayekushangaa katika hili. Tunaujua msimamo wako dhidi ya mafisadi papa!
mpinga shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,234 Reaction score 959 Jul 28, 2015 #3 Ni kweli. Dr Slaa ni vyema ajitenge na hao Wachaga waliouza chama kwa bil. 10
R rubibiman Senior Member Joined Jul 5, 2015 Posts 111 Reaction score 44 Jul 28, 2015 #4 Bil.10 inauza chama je nchi itauzwa kwa kiasi gani?
meningitis JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 8,464 Reaction score 4,828 Jul 28, 2015 Thread starter #5 afaika said: We una vituko Click to expand... Sio vidogo
Timothy walter Member Joined Jul 11, 2015 Posts 55 Reaction score 7 Jul 28, 2015 #6 Nyie pigen kelele tu wapi slaa kalalamika na jana walikuepo wote pale Kilimanjaro kwenye baraza kuu la chadema pamoja na lowasa
Nyie pigen kelele tu wapi slaa kalalamika na jana walikuepo wote pale Kilimanjaro kwenye baraza kuu la chadema pamoja na lowasa
T tetea tete JF-Expert Member Joined Jul 19, 2015 Posts 388 Reaction score 127 Jul 28, 2015 #7 Mkuu slaa usiwasikilize hao maccm wanawafitini lengo no kuiondoa sio mafarakano
Nkundwe Sr JF-Expert Member Joined Nov 30, 2014 Posts 6,299 Reaction score 9,797 Jul 28, 2015 #8 Slaa karibu CCM
T tetea tete JF-Expert Member Joined Jul 19, 2015 Posts 388 Reaction score 127 Jul 28, 2015 #9 Slaa yaliyompata lowassa akiwa ccm unayajua wasikudanganye we we in mwanamageuzi
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,533 Reaction score 32,757 Jul 28, 2015 #10 King Makolokolo said: Slaa karibu CCM Click to expand... ndo imisha kula kwenu,mwaka huu hamna chenu.go to hell!
King Makolokolo said: Slaa karibu CCM Click to expand... ndo imisha kula kwenu,mwaka huu hamna chenu.go to hell!
kituadumu JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 509 Reaction score 82 Jul 28, 2015 #11 Huyo waziri mkuu wa ukawa aende wp?
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 29,081 Reaction score 35,385 Jul 28, 2015 #12 Hahaha itakuwa mchezo kwa watanzania
K katusyo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2013 Posts 1,455 Reaction score 434 Aug 17, 2015 #13 Makwazo Ya Mchungaji Hayawezi Kukutenganisha Na Mungu Eti Uende Kwa Shetani Hayo Ni Majalibu Na Hana Budi Kuyashinda Na Kuendelea Na Ukombozi Wa Taifa Hili
Makwazo Ya Mchungaji Hayawezi Kukutenganisha Na Mungu Eti Uende Kwa Shetani Hayo Ni Majalibu Na Hana Budi Kuyashinda Na Kuendelea Na Ukombozi Wa Taifa Hili
bigshoo Member Joined Aug 14, 2015 Posts 30 Reaction score 2 Aug 17, 2015 #14 Mtazamo usiokuwa na mantic
yanga bwana JF-Expert Member Joined Aug 14, 2015 Posts 300 Reaction score 47 Aug 17, 2015 #15 Kwani CCM inawatetea MASIKINI au INAWANYONYA MASIKINI ?
MtamaMchungu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 9,662 Reaction score 13,858 Aug 27, 2015 #16 Ukimbie fisi uende pori la mafisi... Si wendawazimu huo!