Katika mwendelezo wa Ziara za Kuimarisha chama (CHADEMA) katika kanda ya Ziwa na Magharibi kesho Dr. Slaa atahutubia mkutano mkubwa wilayani Igunga, kwa kuwa Igunga ni kitovu cha mageuzi katika Mkoa wa Tabora kesho Igunga hapatatosha kwani shamlashamla na maandalizi pamoja na ulinzi wa kutosha juu ya ujio huu wa kiongozi wa watu Dr. slaa yameishakamilika, Nataraji kuwepo kwenye tukio hili kwa hiyo tutapena updates za kutosha juu ya nini kitakachokuwa kikiendelea.
teh teh, sio kujiuzulu mawaziri?Kwa sasa nchi imeelekeza macho kwa kijana zitto.
Mzee wa gongo...
Sio lazima kuchangia kila thread ungejaribu kuuficha ujinga wako mbele za wanaume.
Sio lazima kuchangia kila thread ungejaribu kuuficha ujinga wako mbele za wanaume.
Gongo gongo! Zamani nilikuaga nawaza kwa nini BAVICHA wanapenda matusi sana kuliko hoja?
Kumbe babu yao anawalipa ujira wa GONGO a.k.a MACHOZI YA SIMBA
utafiti unaonyesha kwamba DR SLAA ndiye mtu maarufu zaidi katika nchi hii kwa hivi sasa .